Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Wanawake "Bado nakiona kisu, na yule mwanamke aliyenishikilia chini," anasema Hawa'a Mohamed Kamil. Sasa ana umri wa miaka 30, alikeketwa akiwa na umri wa miaka sita tu - uzoefu ambao haukuacha tu makovu ya kimwili lakini pia ya kisaikolojia.

Habari Nyinginezo

Amani na Usalama Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu mahitaji ya dharura ya ulinzi na mazingira magumu yanayokabili raia kwenye eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC lenye utajiri mkubwa wa madini huku wakitoa wito wa msaada wa dharura wa kibinadamu na kusaka suluhisho la kisiasa ili kulinda raia wa nchi hiyo.