Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Gladys Gibbs

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kuweka picha bila maelezo

[hariri chanzo]

Mpendwa, asante kwa jitihada yako ya kuongeza picha kwenye makala. Hata hivyo, ingekuwa vema ukijitahidi kuweka picha pamoja na maelezo yanayofaa. Nimeangalia mfano wa https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Selection_on_the_ramp_at_Auschwitz-Birkenau,_1944_(Auschwitz_Album)_1a.jpg uliyoweka na maelezo "Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi Ulaya". Kwanza picha hii iko tayari kwenye makala, pili kwa maelezo sahihi. Nashukuru ukiangalia makala yote kabla ya kuingiza picha na kutafuta maelezo ya maana. Kipala (majadiliano) 13:25, 27 Julai 2020 (UTC)[jibu]

Habari nimesahihisha sasa hivi makala ya Caron Bernstein. Je ulitumia tafsiri ya kompyuta? Hii unaweza kufanya katika maandalizi ya makala lakini usileta kamwe tafisri za aina hoyi moja kwa moja, maana matokeo ni mabaya. Karibu kuuliza maswali!Kipala (majadiliano) 08:58, 20 Novemba 2020 (UTC)[jibu]

Martha Nasibu

[hariri chanzo]

Asante kwa mchango wako. Makala hii haikukamilika, sentensi ya mwisho haieleweki, halafu inaonekana haishi tena?? Haiwezi kubaki jinsi ilivyo, tafadhali fanya utafiti na kurekebisha. Kipala (majadiliano) 07:05, 20 Machi 2021 (UTC)[jibu]

ba (Februari 16, 1921 - Septemba 19, 1996 )

[hariri chanzo]

ba (Februari 16, 1921 - Septemba 19, 1996 ), angalia ukurasa huu.Czeus25 Masele (majadiliano) 10:25, 29 Mei 2021 (UTC)[jibu]

Pitia Makala

[hariri chanzo]

Salama, jaribu kupitia katika makala hii https://sw.wikipedia.org/wiki/Gopala_Davies kwa ajili ya maboresho ya kilugha,neno director katika filamu lina maanisha Muongozaji badala ya MKURUGENZI, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 11:12, 9 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Tayari,asanthe. Gladys Gibbs (majadiliano) 11:23, 9 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]