Donald DeGrood
Mandhari
Donald Edward DeGrood (alizaliwa 14 Februari 1965) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani ambaye amekuwa akihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Sioux Falls, South Dakota tangu mwaka 2019.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Donald E. DeGrood - Office of the Bishop" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-03-28.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |