Nenda kwa yaliyomo

Takeoff (rapa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Takeoff performing in July 2021.png
TakeOff mwaka 2021

Kirshnik Khari Ball au Kirsnick Khari Ball (June 18, 1994 - Novemba 1, 2022) [1][2][3] akijulikana kitaaluma kwa jina la Takeoff, alikua rapa wa Marekani. Alijulikana zaidi kama mmoja wa kikundi cha hip hop cha Migos pamoja na mjomba wake Quavo na binamu yake wa kwanza (alieondolewa) Offset.[4] Kundi hilo lilifunga vibao vingi na kumi bora kwenye Billboard Hot 100 ikiwemo "MotorSport[5]"ikimshirikisha Nick Minaj na Card B, "Stir Fly[6]", "Walk it Talk it[7]" ikimshirikisha Drake, na "Bad and Boujee[8]" ikimshirikisha Lil Uzi Vert, ya mwisho ambayo ilifikia kilele juu ya chati (ingawa Takeoff haikuwepo kwenye single).[9][10]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Takeoff alizaliwa Juni 18 ya mwaka 1994, huko Lawrenceville, Georgia, ambapo alilelewa au aliapata malezi pamoja na wanafamilia Quavo na Offset.[11][12][13] Alianza kutengeneza midundo na kuendeleza midundo akiwa darasa la saba, lakini hakuanza kuzalisha muziki kitaaluma hadi mwaka 2011.[14]

2008-2018: Kazi ya mapema na Migos

[hariri | hariri chanzo]

Pamoja na wanafamilia wenzake Quavo na Offset, Takeoff alianza kupiga rap mnamo 2008. Awali kundi hilo lilitumbuiza chini ya jina la jukwaa la Polo Club, lakini hatimaye likabadilisha jina na kuwa Migos. Kikundi kilitoa mradi wao wa kwanza wa urefu kamili, mixtape iliyoitwa Juug Season, mnamo Agosti 25, 2011. Walifuata na mixtape No Label, mnamo Juni 1, 2012.[15]

  1. Andre Gee, Andre Gee (2022-11-01). "Remembering Takeoff, The Best Rapper in Migos". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
  2. Coscarelli, Joe; Goodman, J. David (2022-11-01), "Takeoff, of Atlanta Rap Trio Migos, Shot Dead at 28", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-12-11
  3. Migos rapper Takeoff shot dead at 28: What we know | news.com.au — Australia’s leading news site
  4. Xander Zellner, Xander Zellner (2018-01-03). "Takeoff Becomes Third Member of Migos to Earn a Solo Billboard Hot 100 Hit". Billboard (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
  5. "MotorSport", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-12-10, iliwekwa mnamo 2022-12-11
  6. "Stir Fry (song)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-12-04, iliwekwa mnamo 2022-12-11
  7. "Walk It Talk It", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-12-04, iliwekwa mnamo 2022-12-11
  8. "Bad and Boujee", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-11-07, iliwekwa mnamo 2022-12-11
  9. "https://twitter.com/billboardcharts/status/1587499620569124864". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. {{cite web}}: External link in |title= (help)
  10. Takeoff wasn’t the most visible member of Migos. But he was its heart. - The Washington Post
  11. "Interview: Migos". The FADER (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-13.
  12. Angus Walker (2015-03-03). "The Three A-Migos: Quavo, Takeoff & Offset". HotNewHipHop (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-13.
  13. Jonah Weiner, Jonah Weiner (2017-02-08). "Migos' Wild World: One Night in the Studio With 'Bad and Boujee' Trio". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-13.
  14. Molli Mitchell (2022-10-07). "Will Migos ever get back together? Quavo and Takeoff break silence". Newsweek (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-13.
  15. Jodi Guglielmi,Jon Blistein, Jodi Guglielmi, Jon Blistein (2022-11-01). "Migos Rapper Takeoff Shot Dead in Houston at Age 28". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-13.{{cite web}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Takeoff (rapa) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.