Lacey Duvalle
Mandhari
Lacey Duvalle | |
---|---|
Lacey Duvalle, 2003 | |
Amezaliwa | 5 Aprili 1982 |
Kazi yake | mwigizaji wa filamu za ponografia wa Marekani |
Lacey Duvalle (amezaliwa 5 Aprili 1982) ni mwigizaji wa filamu za ponografia wa Marekani. Aliingia katika sekta hiyo mwaka 2000 katika umri wa miaka karibu 18 na kuonekana katika sinema zaidi ya 140.[1]
Heshima
[hariri | hariri chanzo]- 2009: Urban X Awards Winner – Best POV Sex Scene – Tunnel Vision
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Personal Bio: Lacey Duvalle". IAFD.com. Iliwekwa mnamo 2009-08-24.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Lacey Duvalle at the Internet Movie Database
- Lacey Duvalle katika MySpace
- Lacey Duvalle on Twitter
- Rogreviews.com: 2002 Lacey Duvalle Interview Ilihifadhiwa 29 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lacey Duvalle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |