Nenda kwa yaliyomo

Kidagaare-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidagaare-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadagaare. Lugha hiyo ni tofauti na Kidagaare-Kaskazini nchini Burkina Faso. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidagaare-Kusini imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagaare-Kusini iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidagaare-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.