Kathrin Hendrich
Mandhari
Kathrin Julia Hendrich (alizaliwa 6 Aprili 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ujerumani. Anacheza kama beki kwenye timu ya wanawake ya VfL Wolfsburg na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Ujerumani. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FIFA Women's World Cup France 2019: List of Players" (PDF). FIFA.com. FIFA. 27 Mei 2019. uk. 10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2019.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "1. FFC Frankfurt verpflichtet Kathrin Hendrich". womensoccer.de. 11 Februari 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-15. Iliwekwa mnamo 2022-05-08.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kathrin Hendrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |