Cole Palmer
Mandhari
Cole Jermaine Palmer (alizaliwa Mei 6, 2002) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayeichezea klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza. Cole Palmer ni mzaliwa wa Manchester.
Palmer anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji lakini pia anaweza kucheza kwa umahiri katika nafasi zozote za kushambulia, kama winga, mshambuliaji wa pembeni au mshambuliaji wa kati.
Kabla ya kujiunga na Chelsea mwaka 2023, Palmer aliichezea Manchester City F.C..
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cole Palmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[Jamii:{{ #if:2002|Waliozaliwa 2002|Tarehe ya kuzaliwa