Nenda kwa yaliyomo

Carles Puyol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carles Puyol
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania Hariri
Nchi anayoitumikiaHispania Hariri
Jina katika lugha mamaCarles Puyol Hariri
Jina la kuzaliwaCarlos Puyol Saforcada Hariri
Jina halisiCarles Hariri
Jina la familiaPuyol Hariri
NicknameTarzan Hariri
Tarehe ya kuzaliwa13 Aprili 1978 Hariri
Mahali alipozaliwaLa Pobla de Segur Hariri
MwenziVanesa Lorenzo Hariri
MchumbaVanesa Lorenzo Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania, Kikatalunya Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timucentre-back Hariri
Muda wa kazi1996 Hariri
Work period (end)2014 Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Tuzo iliyopokelewaGold Medal of the Royal Order of Sports Merit Hariri
Tovutihttp://www.carles5puyol.com/ Hariri
Puyol mwaka 2007.

Carles Puyol Saforcada (alizaliwa 13 Aprili 1978) alikuwa mchezaji mashuhuri wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye alichezea klabu ya Barcelona F.C. mpaka kustaafu. Yeye alikuwa akicheza kama mlinzi wa kati lakini pia kama beki wa kulia, anachukuliwa kama mmoja wa walinzi bora wa kizazi chake.

Alikuwa nahodha wa Barcelona tangu Agosti 2004 hadi kustaafu kwake mwaka 2014, na alionekana kwenye mechi 593 za klabu.

Alishinda makombe 20 ikiwa vikombe sita vya La Liga na matatu ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Puyol alishinda makombe 38 katika nchi yake ya Hispania, na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Euro 2008 na Kombe la Dunia la 2010.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carles Puyol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.