Lugha za Kisino-Tibeti

Lugha za Kisino-Tibeti ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika bara ya Asia, hasa nchini Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni zaidi ya 400.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kisino-Tibeti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.