Mkoa wa Niğde
Mandhari
Mkoa wa Niğde | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Niğde nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 7,314 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 331.677 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 51 |
Kodi ya eneo: | 0388 |
Tovuti ya Gavana | http://www.niğde.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/niğde |
Niğde ni kaji mkoa kadogo kaliopo vijijini mwa sehemu ya kaskaini mwa kanda ya Kati ya Anatolia huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi kwa mwaka wa 2007 ilikuwa 331.677, ambao wengine 100,418 wanaishi katika jiji la Niğde. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,312. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Kayseri, Adana, Mersin, Konya, Aksaray na Nevşehir.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Niğde umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Niğde University
- Bor; From Past to the Present Archived 10 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |