Mkoa wa Isparta
Mandhari
Mkoa wa Isparta | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Isparta nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediterranean |
Eneo: | 8,993 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 547,525 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 32 |
Kodi ya eneo: | 0246 |
Tovuti ya Gavana | http://www.isparta.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/isparta |
Isparta ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Afyon kwa upande wa kaskazini-magharibi, Burdur kwa upande wa kusini-magharibi, Antalya kwa upande wa kusini, na Konya kwa upande wa mashariki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,993 na jumla ya wakazi takriban 547,525 up kutoka 434,771 (1990). Mji mkuu wake ni Isparta.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Isparta umegawanyika katika wilaya 13 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Aksu
- Atabey
- Eğirdir
- Gelendost
- Gönen
- Isparta
- Keçiborlu
- Şarkikaraağaç
- Senirkent
- Sütçüler
- Uluborlu
- Yalvaç
- Yenişarbademli
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Isparta City and Life Guide
- Isparta City Guide Archived 5 Machi 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Isparta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |