Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Çorum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Çorum
Maeneo ya Mkoa wa Çorum nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 12,820 (km²)
Idadi ya Wakazi 560,488 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 19
Kodi ya eneo: 0364
Tovuti ya Gavana http://www.çorum.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/çorum

Çorum ni mkoa uliopo katika Kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki, lakini umelala ndani na unatabia kabisa ya Kanda ya Anatolia ya Kati kuliko hata zile za pwani ya Bahari Nyeusi.

Idadi ya wakazi

[hariri | hariri chanzo]
Idadi ya wakazi imetajwa kwa wilaya
Mkoa 1831* 1849 1893 1907 1927 1950 1960 1970 1980 1990 2000 2007
Çorum 10.075* 49.057 80.973 60.752 88.056 118.536 144.569 168.985 189.748 221.699
Alaca - - - - 26.787 46.444 54.315 56.657 56.724 53.403 53.193
Bayat - - - - - - 22.836 27.078 31.957 36.294 30.574
Boğazkale - - - - - - - - - 9.973 8.190
Dodurga - - - - - - - - - 13.550 10.439
İskilip 11.450* 43.442 43.271 52.362 53.722 66.611 55.618 67.434 72.569 52.569 45.327
Kargı - - - - - - 31.564 32.261 31.247 26.762 20.388
Laçin - - - - - - - - - 11.960 9.425
Mecitözü - - 31.928 1907 36.752 44.319 34.598 35.496 34.911 31.246 26.064
Oğuzlar - - - - - - - - - 11.154 9.083
Ortaköy - - - - - - 9.580 11.016 12.420 13.073 11.820
Osmancık 4.349* 17.639 29.473 29.184 33.494 42.960 53.849 63.018 52.490 53.758
Sungurlu 67.607 39.793 40.405 62.429 76.382 90.006 100.000 88.327 80.840
Uğurludağ - - - - - - - - - 18.111 16.265
Jumla 202.601 247.602 341.353 446.389 518.366 571.831 608.660 597.065

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Çorum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.