Nenda kwa yaliyomo

Claudio Licciardello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Claudio Licciardello (alizaliwa 11 Januari 1986, Catania) ni mwanariadha nchini Italia ambae alibobea katika mbio za mita 400.Muda wake bora zaidi ni sekunde 45.25, kufikia kwenye mashindano ya Olimpik majira ya joto mwaka 2008 huko Beijing. [1]

Marejeo

  1. "Results. 4x400m Relay Men". sportresult.com. European Athletics. 8 Machi 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Aprili 2009. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claudio Licciardello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.